Rais anapoweka rehani maisha yake

Rais anapoweka rehani maisha yake

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,925
KIKWETE+GARI.jpg

Sijajua bado vyombo vya usalama nchini utaratibu wa kuongoza misafara ya wakubwa serikalini hasa Rais katika vyombo vya usafiri. Mapokeo na utaratibu wa nchi nyingi duniani Rais anaposafiri kwa kutumia usafiri wa gari hukaa passenger seat ya kati wakati wanausalama wake hukaa viti vya mbele na kama kuna viti zaidi nyuma ya rais. Sasa hii picha naona Rais kakaa kiti cha mbele, hii imekaaje?
 
wewe si unamuona obama yuko mtaani anasukuma toroli lenye bidhaa alizotoka kununua sokoni,...tena kwa usafiri wa miguu kabisa
 
nazi zina haki ya kulindwa .
mwizi ataziiba
 
Mazoea yako tu ndiyo yanakupa taabu, Raisi Joseph Kabila wa DRC huwa ana Drive Mwenyewe, sasa jiulize DRC na Bongo wapi ni hatari zaidi?
 
hatuna al shababy bongo
Hahaha! mbona kova kasema watu wasiandamane akiofia wamiliki wa dowans (aka Al-shabab) watawalipua?

Museveni uganda anaendesha hammer yake akiwa na AK 47. shida mkulu wetu ni mnyonge awezi jitetea.
 
security is more than that. Kama hakuna surround security and intelligence/interception nzuri, hata wakimzunguka watakufa naye!
 
KIKWETE+GARI.jpg

Sijajua bado vyombo vya usalama nchini utaratibu wa kuongoza misafara ya wakubwa serikalini hasa Rais katika vyombo vya usafiri. Mapokeo na utaratibu wa nchi nyingi duniani Rais anaposafiri kwa kutumia usafiri wa gari hukaa passenger seat ya kati wakati wanausalama wake hukaa viti vya mbele na kama kuna viti zaidi nyuma ya rais. Sasa hii picha naona Rais kakaa kiti cha mbele, hii imekaaje?
Mtu akiwa mbishi kuhusu usalama wake ni kumuacha tu yatokee yakutokea.
 
changanya na zako mbayuwayu wewe.....avatar umewekewa nn??
 
Fısadı utamjua tu!
Anampa mtoto chejı ılı apate mlo wa sıku moja ılhal kesho yake maskın mtoto wa watu haıjuı!
Maısha yake yamezungukwa na sıntofahamu nyıngı,hana nyenzo za kupambana na future yake, shule, makazı na afya vyote kwake nı kıtendawılı kıschotegulıwa!
Wallah laıtı kama atafanıkıewa kuıona pıcha hıı baada ya mıaka ıshırını, atakuwa mstarı wa mbele kupganıa ukombozı wa Nhı hıı na amahakıka atamtafuta MTU huyu amchabange kwa rısası za kıchwa.
 
Back
Top Bottom