Rais anapoweka rehani maisha yake

Rais anapoweka rehani maisha yake

Huyo hata akipanda daladala daily hakuna atakayemgusa anajiwekea usuperstar tu! Ulinzi utazani Diddy.
 
Kwani kabla kuwa rais alikuwa anatumia gari ya V8? Hili liko wazi ndugu

Hilo ndo tatizo la kuona seat ya mbele ndio bora kuliko seat za kati au kukaa in the back seat of the car.
 
hahaha jk ulikua huru sana kwa sababu hukutaka maadui mzee
 
Back
Top Bottom