Rais anashiriki kongamano la habari huku waandishi wakiendelea kuminywa

Rais anashiriki kongamano la habari huku waandishi wakiendelea kuminywa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ndani ya Wiki moja waandishi wa habari watatu wamekamatwa na Jeshi la Polisi tena ndani ya Wiki ambayo Rais Samia Suluhu anazidua kangamano la maendeleo ya Sekta ya habari, huku Polisi mkoa wa Mwanza likiendesha Oparesheni ya kukamata waandishi kutoka Mikoa ya Simiyu na Mara

Screenshot_20240618_114701_X.jpg


=====

Pia soma: Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024
 
Back
Top Bottom