Ndani ya Wiki moja waandishi wa habari watatu wamekamatwa na Jeshi la Polisi tena ndani ya Wiki ambayo Rais Samia Suluhu anazidua kangamano la maendeleo ya Sekta ya habari, huku Polisi mkoa wa Mwanza likiendesha Oparesheni ya kukamata waandishi kutoka Mikoa ya Simiyu na Mara