Rais anataka nini kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari?

Wewe ni muumini wa JPM na awamu ya tano tena wa wazi kabisa. Nadhani pia huna biashara yoyote unayofanya yenye kukuweka karibu na bandari.

Umeandika ulichoandika ukiongozwa na chuki zaidi kuliko uhalisia. Nenda kawaulize wenye malori namna walivyoteseka na zile foleni wakiambiwa mitambo ndani imeharibika na hakuna namna mizigo yao inaweza kushushwa.


Bandari inamhitaji mchumi wa kweli na mwenye uzoefu wa masuala ya bandari. Mtu mwenye akili za kibiashara ili iweze kuingiza pesa zinazopotea kwa kukosa usimamizi makini.

Kusema kuwa mama anawapapatikia wafanya biashara ni mtazamo duni wenye kuongozwa na akili za mfumo dume zenye kutesa waafrika wengi. Nadhani chanzo pia ni ukosefu wa upeo wa masuala ya kawaida tu.

Mama ni rais ukumbuke hilo, vyombo vyote vya ulinzi na usalama vinampa matokeo ya kazi wanazozifanya.
 
Kwa kuondoka huyu Eric hamisi, Sasa hivi bandari patakua vizuri?
 
Bandari


wanja vya ndege na reli havitakiwi kabisa vibinafsishwe. Toka awali inasemwa kuwa kuna .mpango wa kumpa mtu toka UAE

Bandari, viwanja vya ndege na reli havitakiwi kabisa kubinafsishwa. Toka awali imekuwa ikisemwa kuwa kuna mtu toka UAE anatakiwa kupewa bandari kwa kisingizio cha ubinafsishaji.
Kwa watu wanaojitambua kwelikweli huwezi kumpa mtu bandari muanze kugawana faida.. pili mtu anapokabidhiwa dhamana ya kuongoza shirika kazi yake sio kusema yes yes bali anatakiwa aamue on merit; kama jambo anaona halifai akikataa hata kama atatofautiana na mkuu wake inapaswa uamuzi wake uheshimiwe ndivyo wenzetu wanaozingatia utawala bora wanavyofanya.

Bandari inayoingiza matrilioni halafu wanakuja wajanja kwa mgongo wa ubinafsishaji wanapewa ili wachukue hzyo mapesa inasikitisha sana.
Wakati wote bandari imekuwa ikiingiza mapato na yamekuwa yakiongezeka .mwaka hadi mwaka halafu ghafla viongozi wanasema lazima ibinafsishwe!

Wote tuseme HAKUNA KUBINAFSOSHA BANDARI.
 
Kwani ushiriki wenu umelisaidia nini taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi bado nasimamia kauli yangu ya simuamini wala kumshangilia kiongozi yeyote anayeingia madarakani kwa haraka, yaani lazima usubiri muda upite ndipo uanze kumpima.

Ile kauli ya anaupiga mwingi imeanza kufifia sasa, wote waliokuwa wanategemea kulamba asali now wanashangaa kuona hata masega yamekauka.

🎯Ahahaaa this is Tanzania, naendelea kujifunza.
 
Mnaongeea, kumbe hamjui chochote. Muacheni Raisi afanye sera zake. Subirini matokeo tu. Hakuna sera unayoijua wewe iliowai kuifanikisha nchi hii. Sisi ni masikini muache Raisi ajaribu kufanya.
Kuwe na sera za nchi, si za rais. Rais huja na kuondoka. Maendeleo ya nchi hii tuna cheza ngoma ya kimasai kwa kufuata mfumo huo.
 
inaonekana eric aliwabana mafisadi GSM na wengineo bandarini amri ikatoka afutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…