PostGE2025 Rais anaunda tume kumchunguza nani ikiwa ushahidi wa video na picha na sauti uko wazi

PostGE2025 Rais anaunda tume kumchunguza nani ikiwa ushahidi wa video na picha na sauti uko wazi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
106
Reaction score
383
Kwa hiyo tume inachunguza nini wakati vitu viko hadharani? Yaani unachunguza nini wakati vitu vinaonekana?

Tanzania tumekuwa tukipumbazwaara nyingi na hizi tume ambazo huwa zinaibuliwa mara baada ya tukio kubwa la kuhuzunisha kutokea.

Sasa unaundaje tume wakati tumeona ni polisi ndio walikuwa wameshika bunduki za moto na maiti za raia zimetumbuliwa na risasi?

Unaundaje tume ya kuchunguza ilhali nchi ilikuwa gizani?

Pia soma > PostGE2025 - Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe
 
Kuunda Tume ni jambo zuri, swali ni hiyo Tume ni huru? Jibu ni hapana, hivyo hiyo Tume haina hata maana
 
In philosophy, power cannot judge itself, truth collapses when the accused becomes the investigator.
 
Back
Top Bottom