Penguinelli Cactussini Senior Member Joined May 23, 2022 Posts 106 Reaction score 383 Nov 18, 2025 #1 Kwa hiyo tume inachunguza nini wakati vitu viko hadharani? Yaani unachunguza nini wakati vitu vinaonekana? Tanzania tumekuwa tukipumbazwaara nyingi na hizi tume ambazo huwa zinaibuliwa mara baada ya tukio kubwa la kuhuzunisha kutokea. Sasa unaundaje tume wakati tumeona ni polisi ndio walikuwa wameshika bunduki za moto na maiti za raia zimetumbuliwa na risasi? Unaundaje tume ya kuchunguza ilhali nchi ilikuwa gizani? Pia soma > PostGE2025 - Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe
Kwa hiyo tume inachunguza nini wakati vitu viko hadharani? Yaani unachunguza nini wakati vitu vinaonekana? Tanzania tumekuwa tukipumbazwaara nyingi na hizi tume ambazo huwa zinaibuliwa mara baada ya tukio kubwa la kuhuzunisha kutokea. Sasa unaundaje tume wakati tumeona ni polisi ndio walikuwa wameshika bunduki za moto na maiti za raia zimetumbuliwa na risasi? Unaundaje tume ya kuchunguza ilhali nchi ilikuwa gizani? Pia soma > PostGE2025 - Rais Samia: Yaliyotokea yametutia DOA tuna kazi ya kutafuta fedha wenyewe
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 3,816 Reaction score 9,308 Nov 18, 2025 #2 Kuunda Tume ni jambo zuri, swali ni hiyo Tume ni huru? Jibu ni hapana, hivyo hiyo Tume haina hata maana
Kuunda Tume ni jambo zuri, swali ni hiyo Tume ni huru? Jibu ni hapana, hivyo hiyo Tume haina hata maana
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,147 Nov 18, 2025 #3 In philosophy, power cannot judge itself, truth collapses when the accused becomes the investigator.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 18, 2025 #4 Mbogamboga ni tatizo kubwa nchini.