Rais anaupiga mwingi huko Korea, wamemkubali sana

Rais anaupiga mwingi huko Korea, wamemkubali sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kwenye picha akiwa na wenzie. Wakijadiliana mambo ya msingi kwa mataifa haya mawili.

Screenshot_2024-06-02-15-37-56-591_com.twitter.android~2.jpg
 
Hao jamaa wakija ,vita kama maji maji wakaanda movie yake,kitu kinatoka kama jumong.bonge moja la historical movie,wako vizuri.wasomi wetu wanaosomea bachelor za Sanaa pale ud hakuna kitu
 
Hivi angewaomba hao watayarishaji kuja nchini mwetu ili kuwafunda hao Bongo muvi wake wasio jitambua, na hii ya kuwabeba kwenye Dreamliner ya walipa kodi; kipi kingekuwa ni bora zaidi?
 
Hapa tulipigwa.
Ila naweza kusema Mungu katupa tunachotaka.
Mungu tusaidie huyu mama asigombee 2025
Mungu mpe mama yetu roho ya kutosheka.
 
Sanaa ina nafasi yake. Hongera Mheshimiwa Rai's Kwa kulitambua hilo
 
Asa hamuoni kua sector ya filamu inataka ikuzwe..nyie mna chuki za kimama na ushamba mwingi
chuki zipi tena? sekta ya filamu ndo ina changamoto sana kwa sasa na samia naona ameona hilo jambo nadhani akimaliza hizo changamoto maisha ya watz mengi yatakuwa mazuri maana wengi wameamua kuwa waigizaji
 
Hivi angewaomba hao watayarishaji kuja nchini mwetu ili kuwafunda hao Bongo muvi wake wasio jitambua, na hii ya kuwabeba kwenye Dreamliner ya walipa kodi; kipi kingekuwa ni bora zaidi?
huo wivu sasa.unataka waigizaji tukale wapi????????????????????????????????????????????????????
 
Panya na samaki si lazima uweke chambo kwanza,badae unamkan'gata.
Kuku mpe mchele anone ale kisu.
 
Nilitegemea atakutana na kina Lee Min Ho
 
Wamemuomba arudi tena na madreva bajaji,bodaboda,malori,mabasi....bdae aende na wapiga debe,machawa,



Hapa tulipigwa.
Ila naweza kusema Mungu katupa tunachotaka.
Mungu tusaidie huyu mama asigombee 2025
Mungu mpe mama yetu roho ya kutosheka.
haha haaa haaaa

tatizo lilianzia kwa yule mzee aliyetaka mgombea mwenza dhaifu ili asije akam outsmart
 
Back
Top Bottom