Rais anavyowakilisha Kenya/Africa huko China

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Naona wiki rais amepigia China kelele mpaka imebidi Xi jin Ping mwenyewe ahakikishe bidhaa za Kenya zinauzwa China ili bilateral trade kati ya Kenya-China isawazishwe iwe balanced

Kenya na Egypt ndo Marais walioalikwa huko CHina pekee kuenda ku market bidhaa zao

Kenyatta alimtembeza Xi kwa stand ya Kenya

Utawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge
huyu mshamba atakuwa hata hana uelewa wowote wa industrialization iliomo China...hawa jamaa sidhani kama kuna kitu ambacho hawatengenezi wenyewe
 
Ningependa rais XI Jinping aweze kukubali hata kama ni maua yetu maana China pia wanapanda chai...hio trade imbalance ni jambo la kusikitisha sana
 
Ningependa rais XI Jinping aweze kukubali hata kama ni maua yetu maana China pia wanapanda chai...hio trade imbalance ni jambo la kusikitisha sana

Hata kama China akipenda maua kutoka Kenya bado haitaweza/ruhusiwa na Muzungu kuuza Maua yake China au popote pale, Muzungu anamiliki biashara ya Maua Kenya 100% na ni lazima Maua yote yaende flower auction Amsterdam-Uholanzi!
 
hahahaha thats funny babarosa..hivi nikuulize ni kwanini chai yote ya afrika mashariki huwa inakuja Mombasa auction? yaani chai ya Uganda, tz, rwanda zote huwa zinaletwa kwenye auction pale Mombasa...tafakari hayo
 
Ni Muzungu alipanga hivyo, Afrika hatujaweza kufanya chochote nje ya kile Muzungu alichoacha, hata hiyo Mombasa auction yenyewe ni Muzungu pia ndo anafanya, au unaweza kusema ni Muzungu's legacy!
 
Ni Muzungu alipanga hivyo, Afrika hatujaweza kufanya chochote nje ya kile Muzungu alichoacha, hata hiyo Mombasa auction yenyewe ni Muzungu pia ndo anafanya!
hahaha wewe na conspiracy theories... duh!
 
Hongera yake sisi bado tunajenga viwanda vikianza kuzalishA ndo tutapeleka bidhaa...
Tanzania tunauza bidhaa nyingi tu uchina. Sema ninyi humu watu mumelala. Narafiki zangu wanasafirisha bidhaa china. Ukitaka namba zao nakupatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…