Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Manigga Jay.....vikapu?Mpaka Xi anakaribia kucheka!pengine nikuulize hako kanchi kenu LDC kanauzia china nini?....au cassava?😀😀😀au mnaexport beggars
Leta takwimu, acha longo longo kwani Kenya ndio huwa hatuexport chochote? Tunaongoza hapa Afrika kwa export ya bidhaa mbali mbali, majani chai, kahawa, maua nchi ambayo ni jangwa kwa asilimia kubwa lakini hakuna nchi ambayo inatupiku hapa Afrika kwa export ya maparachichi. Blah blah zako hazibadilisha facts jombaa.Manigga Jay.....vikapu?Mpaka Xi anakaribia kucheka!
Tuna-export muhogo,it is a hell of product than kikapu ndugu yangu!
No wonder kikapu chenyewe mlichukua TZ mkapaka rangi,mlivyo wezi wezi,thats the case!
Utawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge
Leta takwimu, acha longo longo kwani Kenya ndio huwa hatuexport chochote? Tunaongoza hapa Afrika kwa export ya bidhaa mbali mbali, majani chai, kahawa, maua nchi ambayo ni jangwa kwa asilimia kubwa lakini hakuna nchi ambayo inatupiku hapa Afrika kwa export ya maparachichi. Blah blah zako hazibadilisha facts jombaa.
Yaani kitu simpo hivyo ndio kinafanya umage povu hili lote? Haya basi itazame tena kwa mara nyingine, ili ikuingie zaidi.Teh teh teh tihiii
i never thought/expect such an erroneous report.
Afrika President. hata wangemtaja kagame i could agree, coz he is a AU chairman.
sasa huyu chang'aa guy no one is recognizing him in the continent.
LABDA wanampamba coz is a good way paver for mabeberu kuja kunyonya Afrika.
Wewe hata haujui tofauti ya fact na fiction, watu wa blah blah nyingi mwisho wa siku hakuna lolote umesema, kuna watanzania wachache sana hapa JF wanajua ku argue using evidence, you are not one of them...Wewe sijui hizi hekaya zako huwa unatoa wapi, alafu saa nikikupa facts unatokomea kusikojulikana whole week so ngoja ninyamaze kwenye hilo suala la sisal sababu hapo umejamba kwa nguvu sana. Prutatapaa! Paa! Paaa! Pyuuu, skididiiiiiii
Tokomea gizani. Kwahivyo hata wale ambao mnapeleka bidhaa kwao huwa hawana haja ya takwimu pia? Tatuta toto mwingine wa kudanganya. [emoji1][emoji1][emoji1] Unajua Kiondo ni nini? Ni brand tu kama Kikoi na kinatambuliwa dunia nzima kama product kutoka Kenya. Naona huelewi exhibition stand maana yake ni nini.Sawa mzee wa exports..
Tuko kwenye mustakabali wa hiyo picha hapo,how can you sell a kikapu na ujisifie wewe ndio best?
Huenda hata exports zetu zinawazidi sema tu hatutunzi kumbukumbu vizuri...
Isiwe taabu,Kenya mnaongoza kwa takwimu!Are you happy bro?
Tokomea gizani. Kwahivyo hata wale ambao mnapeleka bidhaa kwao huwa hawana haja ya takwimu pia? Tatuta toto mwingine wa kudanganya. [emoji1][emoji1][emoji1] Unajua Kiondo ni nini? Ni brand tu kama Kikoi na kinatambuliwa dunia nzima kama product kutoka Kenya. Naona huelewi exhibition stand maana yake ni nini.
Yep hata mimi hapa pia nipo kwenye mtandao. Nakushangaa wewe ambaye unaleta dharau ukipuuzilia za Kenya mbali wakati huna takwimu za kuonesha nyinyi ambao mpo juu yetu mmefika wapi na mmetupiku kwa kiasi gani.Bro,una-catch feelings mno bwana!
It is an internet talk,do not mind mzee!
Yep hata mimi hapa pia nipo kwenye mtandao. Nakushangaa wewe ambaye unaleta dharau ukipuuzilia za Kenya mbali wakati huna takwimu za kuonesha nyinyi ambao mpo juu yetu mmefika wapi na mmetupiku kwa kiasi gani.
Nimeelewa. Peace bro, sina bifu jombaa.Acha mbwembwe sasa....
Unajibiwa kistaarabu kua yameisha halafu unazidi pandisha kende...
Wote tunajua vurugu...
Hiyo gaffe ya Sky News imewauma baadhi yao sio mchezo. Hahaa! [emoji1]Hongera sana Mr. President of Africa.....hehehe hili shamba la Afrika lazima tule nao sahani moja.
Wewe si case yako tulishaifunga jana?Wewe hata haujui tofauti ya fact na fiction, watu wa blah blah nyingi mwisho wa siku hakuna lolote umesema, kuna watanzania wachache sana hapa JF wanajua ku argue using evidence, you are not one of them...
Na uwache tabia ya kubofya refresh button after every minute ukingoja reply, people have a life outside jf
Yaani kitu simpo hivyo ndio kinafanya umage povu hili lote? Haya basi itazame tena kwa mara nyingine, ili ikuingie zaidi.
I can't understand this medieval language you just used. Its not human.Teh teh teh tihiii
may be the has been added in the JUBILEE pay list.
I can't understand this medieval language you just used. Its not human.
umesahau bado tunanunua wapinzani na kutekanaHongera yake sisi bado tunajenga viwanda vikianza kuzalishA ndo tutapeleka bidhaa...
Hahaha! 😀 Jombaa una hangover nini? Unatupia sentensi kama za kiumbe ambaye alifunzwa ba be bi bo bu jana. [emoji38]Ahaaa haaa haaa
the list that you belong with your friend mk254.
Hahaha! 😀 Jombaa una hangover nini? Unatupia sentensi kama za kiumbe ambaye alifunzwa ba be bi bo bu jana. [emoji38]