Rais anavyowakilisha Kenya/Africa huko China

pengine nikuulize hako kanchi kenu LDC kanauzia china nini?....au cassava?😀😀😀au mnaexport beggars
Manigga Jay.....vikapu?Mpaka Xi anakaribia kucheka!

Tuna-export muhogo,it is a hell of product than kikapu ndugu yangu!

No wonder kikapu chenyewe mlichukua TZ mkapaka rangi,mlivyo wezi wezi,thats the case!
 
Leta takwimu, acha longo longo kwani Kenya ndio huwa hatuexport chochote? Tunaongoza hapa Afrika kwa export ya bidhaa mbali mbali, majani chai, kahawa, maua nchi ambayo ni jangwa kwa asilimia kubwa lakini hakuna nchi ambayo inatupiku hapa Afrika kwa export ya maparachichi. Blah blah zako hazibadilisha facts jombaa.
 
Utawauzia nini china Ambacho hawawezi kutengeneza wenyewe, Hivo vikapu hua vinauzwa sana kule Europe na wakenya, Biashara hio inasababisha tuwe wa pili au tatu Africa kwa kuzalisha makonge

Bro Kafrican

Kwa mbwembwe Kenyans mlivyo mnaona ndio bonge la product?

Product itakayoleta import/export trade balance...Yaani una-balance SGR anayotoa Mchina na kikapu?

Kafrican are you serious bro?
 
Leta takwimu, acha longo longo kwani Kenya ndio huwa hatuexport chochote? Tunaongoza hapa Afrika kwa export ya bidhaa mbali mbali, majani chai, kahawa, maua nchi ambayo ni jangwa kwa asilimia kubwa lakini hakuna nchi ambayo inatupiku hapa Afrika kwa export ya maparachichi. Blah blah zako hazibadilisha facts jombaa.

Sawa mzee wa exports..

Tuko kwenye mustakabali wa hiyo picha hapo,how can you sell a kikapu na ujisifie wewe ndio best?

Huenda hata exports zetu zinawazidi sema tu hatutunzi kumbukumbu vizuri...

Isiwe taabu,Kenya mnaongoza kwa takwimu!Are you happy bro?
 
Teh teh teh tihiii
i never thought/expect such an erroneous report.
Afrika President. hata wangemtaja kagame i could agree, coz he is a AU chairman.
sasa huyu chang'aa guy no one is recognizing him in the continent.

LABDA wanampamba coz is a good way paver for mabeberu kuja kunyonya Afrika.
Yaani kitu simpo hivyo ndio kinafanya umage povu hili lote? Haya basi itazame tena kwa mara nyingine, ili ikuingie zaidi.
5b8a84b979365.JPG
 
Wewe sijui hizi hekaya zako huwa unatoa wapi, alafu saa nikikupa facts unatokomea kusikojulikana whole week so ngoja ninyamaze kwenye hilo suala la sisal sababu hapo umejamba kwa nguvu sana. Prutatapaa! Paa! Paaa! Pyuuu, skididiiiiiii
Wewe hata haujui tofauti ya fact na fiction, watu wa blah blah nyingi mwisho wa siku hakuna lolote umesema, kuna watanzania wachache sana hapa JF wanajua ku argue using evidence, you are not one of them...

Na uwache tabia ya kubofya refresh button after every minute ukingoja reply, people have a life outside jf
 
Sawa mzee wa exports..

Tuko kwenye mustakabali wa hiyo picha hapo,how can you sell a kikapu na ujisifie wewe ndio best?

Huenda hata exports zetu zinawazidi sema tu hatutunzi kumbukumbu vizuri...

Isiwe taabu,Kenya mnaongoza kwa takwimu!Are you happy bro?
Tokomea gizani. Kwahivyo hata wale ambao mnapeleka bidhaa kwao huwa hawana haja ya takwimu pia? Tatuta toto mwingine wa kudanganya. [emoji1][emoji1][emoji1] Unajua Kiondo ni nini? Ni brand tu kama Kikoi na kinatambuliwa dunia nzima kama product kutoka Kenya. Naona huelewi exhibition stand maana yake ni nini.
 
Bro,una-catch feelings mno bwana!

It is an internet talk,do not mind mzee!
 
Hongera sana Mr. President of Africa.....hehehe hili shamba la Afrika lazima tule nao sahani moja.
 
Bro,una-catch feelings mno bwana!

It is an internet talk,do not mind mzee!
Yep hata mimi hapa pia nipo kwenye mtandao. Nakushangaa wewe ambaye unaleta dharau ukipuuzilia za Kenya mbali wakati huna takwimu za kuonesha nyinyi ambao mpo juu yetu mmefika wapi na mmetupiku kwa kiasi gani.
 
Acha mbwembwe sasa....

Unajibiwa kistaarabu kua yameisha halafu unazidi pandisha kende...

Wote tunajua vurugu...
 
Wewe hata haujui tofauti ya fact na fiction, watu wa blah blah nyingi mwisho wa siku hakuna lolote umesema, kuna watanzania wachache sana hapa JF wanajua ku argue using evidence, you are not one of them...

Na uwache tabia ya kubofya refresh button after every minute ukingoja reply, people have a life outside jf
Wewe si case yako tulishaifunga jana?

Au una mpya?

Keep farting again
 
Yaani kitu simpo hivyo ndio kinafanya umage povu hili lote? Haya basi itazame tena kwa mara nyingine, ili ikuingie zaidi.
5b8a84b979365.JPG

Teh teh teh tihiii
may be the has been added in the JUBILEE pay list.
 
Back
Top Bottom