The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Nawasalimu,
Wote mmesikia kuwa tuliwakilishwa na wachezaji kadhaa kwenye Olympic huko Paris France.
Hakika hatukufanya vizuri na hawakurudi na medali hata moja.
Nimejaribj kufuatilia nchi za wenzetu majirani hususani Kenya wenzetu wana training ground inaitwa Kasarani kama sijakosea. Hii ground ina sehem ya kila mchezo wa olympic, Hi ni sababu iliyowafanya waweze kufanya vizuri huko na kuzoa medali.
Ni wakati Rais Samia ache hizi mambo za goli la mama, ni kutupa pesa bila sababu ya msingi, hii ni ishara ya kukosa dira kama taifa, ni aibu aisee
Badala yake angewekeza kwenye training ground ya olympic ili tuweze tengeneza wanamichezo wengi na kushindana zaidi kimataifa.