Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Kwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe .
Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba itahitaji viongozi wa juu kabisa ambao walitumia mamlaka vibaya kushatakiwa na kufungwa baada ya madaraka yao kama kwa wenzetu.
Soma

Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa.
Kashfa za kufanya biashara akiwa Ikulu, Wizi wa Mgodi wa Kiwira uliokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi kwa Mkapa-Yona kujiuzia kwa shilingi milioni 700 tu, Uundaji wa Kampuni za wizi na utapeli za Meremeta na Tangold, Wizi wa EPA BoT na Ujenzi wa Twin Towers za BoT, Ubinafsishaji wa NBC kwa...

- Ibrah
- hussein bashe katiba kinga magufuli marais mpango rais sheria tanzania ufaransa uhuru ushauri
- Replies: 1,120
- Forum: Jukwaa la Siasa