Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Nchi za wenzetu hata mkuu wa nchi aliyeko madarakani anafungwa kwa wizi wa fedha za ummaKwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe .
Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba itahitaji viongozi wa juu kabisa ambao walitumia mamlaka vibaya kushatakiwa na kufungwa baada ya madaraka yao kama kwa wenzetu.
Rais anapaswa kushitakiwa hata kama yupo madarakani, imagine muuaji kama Samia ambaye alistahili kuwa teyari ameshasimamishwa kizimbani eti yeye ndiyo anaamuru nani aswekwe ndani na nani awe huru.Kwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe .
Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba itahitaji viongozi wa juu kabisa ambao walitumia mamlaka vibaya kushatakiwa na kufungwa baada ya madaraka yao kama kwa wenzetu.
Nothing is impossible under the sun!Hili haliwezekani, halikuwezekana na halitawezekana
EX head of state wanatia jela miaka kwa wizi, Africa haiwezekani kwa sababu wao wanapeana vijiti, so wanakuwa ni ndugu, aliyeko madarakani anamuenzi aliyotokaSipati picha kumuona bi msumi gerezani
Keep dreaming babyNothing is impossible under the sun!
iSIPOKUWA AFRTIKA tu, hakuna nchi inaweza kuruhusu mgonjwa aendelee kuwa RaisiKwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe .
Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba itahitaji viongozi wa juu kabisa ambao walitumia mamlaka vibaya kushatakiwa na kufungwa baada ya madaraka yao kama kwa wenzetu.
SomaKatika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa.
Kashfa za kufanya biashara akiwa Ikulu, Wizi wa Mgodi wa Kiwira uliokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi kwa Mkapa-Yona kujiuzia kwa shilingi milioni 700 tu, Uundaji wa Kampuni za wizi na utapeli za Meremeta na Tangold, Wizi wa EPA BoT na Ujenzi wa Twin Towers za BoT, Ubinafsishaji wa NBC kwa...
- Ibrah
- hussein bashe katiba kinga magufuli marais mpango rais sheria tanzania ufaransa uhuru ushauri
- Replies: 1,120
- Forum: Jukwaa la Siasa