Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

Joined
Nov 19, 2024
Posts
94
Reaction score
307
Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao.

Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.

Barua.png
 
maisha ya mashariki ya kati ni ya ajabu sana,kuna mpalestina aliwahi ongoza israel miaka ya 1960s kama waziri mkuu
 
We hustuki, kwa maana Uturuki ndiyo iliyomkingia kifua mpaka kubakia madarakani ile vita ya 2015 na kumlinda mpaka hivi sasa. Ni nini kilichoifanya Uturuki mara moja kubadili msimamo wake na kumtoa madarakani kwa siku zisizozidi 10.
Kuna jamabo kubwa limewatafautisha kati yao. Michezo ya mashariki ya kati achana nayo tu. Kama Jordan Iliisaidia Israel kutungua mabomu ya Irani, sitoshangaa kuona nchi yeyote ya Kiarabu kuungana na Israel au ktoa siri kwa Israel.
 
maisha ya mashariki ya kati ni ya ajabu sana,kuna mpalestina aliwahi ongoza israel miaka ya 1960s kama waziri mkuu
Kwani wewe hujui kuwa kuna waarabu wako wanaishi ndani ya Israel na wana uraia wa Israel?
 
Kwani wewe hujui kuwa kuna waarabu wako wanaishi ndani ya Israel na wana uraia wa Israel?
URAIA NI ISSUE NYINGINE
NDO MAANA KUNA URAIA WA KUZALIWA NA WA KUJIANDIKISHA ,HATA STAHIKI HAZIFANANI
 
Back
Top Bottom