We hustuki, kwa maana Uturuki ndiyo iliyomkingia kifua mpaka kubakia madarakani ile vita ya 2015 na kumlinda mpaka hivi sasa. Ni nini kilichoifanya Uturuki mara moja kubadili msimamo wake na kumtoa madarakani kwa siku zisizozidi 10.
Kuna jamabo kubwa limewatafautisha kati yao. Michezo ya mashariki ya kati achana nayo tu. Kama Jordan Iliisaidia Israel kutungua mabomu ya Irani, sitoshangaa kuona nchi yeyote ya Kiarabu kuungana na Israel au ktoa siri kwa Israel.