Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Waje na huku watusaidie, hao ndiyo wanaume haswa
Hahaha huku mnawaita Magaidi wamesusa.

Lakini usiombe hao watu ndio wawaondoe ccm, utaomba poo.
Watakuua kabla hujaanza kufurahia ushindi huo, wanahasira na wewe zaidi ya unavyodhani.

Hapa ccm tutawaondoa wwnyewe, wao waende huko huko Syria, na Palestina.
 
Hahaha huku mnawaita Magaidi wamesusa.

Lakini usiombe hao watu ndio wawaondoe ccm, utaomba poo.
Watakuua kabla hujaanza kufurahia ushindi huo, wanahasira na wewe zaidi ya unavyodhani.

Hapa ccm tutawaondoa wwnyewe, wao waende huko huko Syria, na Palestina.
Ni washikaji sn wanapenda haki angalie Sheikh Ponda
 
Duh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.
Hapo kaumia Iran sio mrusi....ndo maana hao jamaa hata kambi za urusi hawajaingia na mrusi katoa statement wamalizane kwa amani yeye hana shida na mtu hapo
Screenshot_20241208-145810_RT News.jpg
 
Hahaha huku mnawaita Magaidi wamesusa.

Lakini usiombe hao watu ndio wawaondoe ccm, utaomba poo.
Watakuua kabla hujaanza kufurahia ushindi huo, wanahasira na wewe zaidi ya unavyodhani.

Hapa ccm tutawaondoa wwnyewe, wao waende huko huko Syria, na Palestina.
CCM aliwaondoa makaburu huu ukanda wa kusini mwa Afrika kote wanamuelewa , sembuse leo waje kutolewa na wanaofadhiliwa na ma lgbt kazi ipo
 
Hata hiyo moja imemshinda. Wanajeshi wanaendelea kugomea mpango wake wa kuendelea na Vita. Putin amekwezwa sana kwenye fikra na propaganda,lakini kiuhalisia ni chenga tu
Vikwazo Urusi alivyowekewa karibu kila sekta ni kama wewe ufungwe miguu na mikono halafu upigane.

Vikwazo ni silaha kubwa kuliko hata vita. Syria inavyo kwa miaka zaidi ya kumi.

Duniani hapa ni Russia na China tu zinaweza kuhimili vikwazo vya USA akitumia UN na dunia nzima.
 
Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania

Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri

Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋
Umalaya tu umekutawala akili yako unafikiria bikra tu na wanawake nao watakutana na bikra?

Kafiri mkubwa wewe na mayahudi ndio kwanza wanawawashia moto huko
 
Magharibi imepambana Sana kumuondoa Assad sema Iran na Russia zilijitahidi ilo lisi tokee.

Sasa Russia Kibarua chake kimekua kigumu, Iran kupitia Hezbollah wame ondoka Syria wako Lebanon kwaiyo Assad alikua uchi kwenye ulinzi.

Ndio maana inaonekana kama imekua kazi rahisi kwa waasi kuingia Damascus kuliko ilivyo tarajiwa lakini Mabeberu wa Magharibi wakianza mpango uo Tangu kipindi Cha Obama kilicho tokea wamekisubiri kwa miaka mingi katika uwanja wa vita.
Ukifuatilia mitandaoni hasa kule telegram..wanasema palikua na makubaliano...ya transition of power ingawa kwa shingo upande..na wanasema Assad mwenyewe alitoa go - ahead...then akasepa zake.
Lkn all in all...SAA walikuwa wanapewa amri ya kutopigana..US & Israel wakakataza Iran kuingiza reinforcements - Hezbollah
challii..Russia wakaona isiwe tabu...
The Syrian opposition hopes for good relations with Moscow, Anas al-Abda, a member of the political committee of the National Coalition of Opposition and Revolutionary Forces, told TASS.

@Slavyangrad
 
Mwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.

Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Wapo supported na mossad. Clandestine ilifanyika kwa muda mrefu
 
Nasemaje akuna kitu kama icho eti wanajeshi kuingia nchi jilani na siraha zao mikononi.
Kwani Irag ina makundi mangapi yanayotawala kaskazini na kusini!? Alipoweka mkono mmarekani hiyo nchi haiwezi kuwa na amani hata kidogo...
 
Hata hiyo moja imemshinda. Wanajeshi wanaendelea kugomea mpango wake wa kuendelea na Vita. Putin amekwezwa sana kwenye fikra na propaganda,lakini kiuhalisia ni chenga tu
Vita 2 zipi hizo ........wakubwa wameshafanya yao.....hapa Iran katolewa kafara
Screenshot_20241208-164722_Sputnik.jpg
Screenshot_20241208-164605_RT News.jpg
Screenshot_20241208-164845_Sputnik.jpg
Screenshot_20241208-164537_RT News.jpg
 
HTS wanaitwa 'magaidi' na nchi za magharibi ila ndio kundi lenye nguvu kati ya makundi yote yenye silaha (ukitoa Wakurdi wanaosaidiwa na Marekani), tuone namna watakavyoaminika mbeleni.

Ila huenda Syria ikaishia kuwa kama Libya tu pale waasi waliotofautiana itikadi za kiimani na kisiasa watakaposhindwa kufikia muafaka.
1733667021515.png


Ni magaidi na Al-Julani (katikati) kiongozi wa HTS ana dola milioni 10 kichwani zilitengwa na Marekani kwa yeyote ataetoa taarifa za kukamatwa kwake.
 
Ni washikaji sn wanapenda haki angalie Sheikh Ponda
Hahaha yule anapenda haki lakini BAKWATA hawamtambui, naye HAWATAMBUI vile vile. Wao wanaitana Shia na Suni. Tatizo lao wakianza kukuita Kafir, wanakufyeka.

Nilivyochoshwa na mauzauza ya CCM niliwahi kuwatamani Al Qaeda na Al Shabab, lakini niliwahi kuishi na msomali aliyehama Somalia anishi Kenya, akanambia Usiombe, wanabalaa sana, wakipata kidogo wanataka chote, na siyo kwa hiyari, bali kwa nguvu. Na baada ya hapo sasa waanza msako wale wote ambao waliwakataa mwanzo lazima MFE hadharani ili kuwatia adabu wengine. Jamaa anasema wao ni Waislamu, lakini wale jamaa hawajali hilo, ni kwamba uliwahi kuwa kan huko nyuma unatembezewa jambia.

Familia yake walipoanza kufa, anasema Kenya walipaona ni kama Mbinguni, palikuwa mbali na hapakufikika kirahisi.

Hivyo usiombe watakapo malizana wataanza kukumaliza wewe.
 
CCM aliwaondoa makaburu huu ukanda wa kusini mwa Afrika kote wanamuelewa , sembuse leo waje kutolewa na wanaofadhiliwa na ma lgbt kazi ipo
Hahaha muda ukifika watakimbizwa mchana kweupeee. Nami nitakuwa nashangilia kama mpira vile kwa Mkapa.
 
Hahaha muda ukifika watakimbizwa mchana kweupeee. Nami nitakuwa nashangilia kama mpira vile kwa Mkapa.
Kumbe utakua unashangilia........hautakua katika wale watakao kua wanawakimbiza.....basi ngoja ufanyiwe homework yako kijana
 
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!

Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.

It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.

People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.

It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says

BBC

=====
View attachment 3171862
Alfajiri ya leo, Desemba 8, 2024, utawala wa miaka 53 wa familia ya Assad nchini Syria umefikia kikomo rasmi.

Vikundi vya waasi vimechukua udhibiti wa mji wa Damascus, huku Rais Bashar al-Assad akiripotiwa kukimbilia mafichoni kusikojulikana.
View attachment 3171863
Mbona imekua mapema kiasi hichi
 
Back
Top Bottom