Hahaha huku mnawaita Magaidi wamesusa.Waje na huku watusaidie, hao ndiyo wanaume haswa
Ni washikaji sn wanapenda haki angalie Sheikh PondaHahaha huku mnawaita Magaidi wamesusa.
Lakini usiombe hao watu ndio wawaondoe ccm, utaomba poo.
Watakuua kabla hujaanza kufurahia ushindi huo, wanahasira na wewe zaidi ya unavyodhani.
Hapa ccm tutawaondoa wwnyewe, wao waende huko huko Syria, na Palestina.
Hapo kaumia Iran sio mrusi....ndo maana hao jamaa hata kambi za urusi hawajaingia na mrusi katoa statement wamalizane kwa amani yeye hana shida na mtu hapoDuh hatari Iran na Russia wamepoteza sana mshiriki wao katika eneo la mashariki ya kati.
CCM aliwaondoa makaburu huu ukanda wa kusini mwa Afrika kote wanamuelewa , sembuse leo waje kutolewa na wanaofadhiliwa na ma lgbt kazi ipoHahaha huku mnawaita Magaidi wamesusa.
Lakini usiombe hao watu ndio wawaondoe ccm, utaomba poo.
Watakuua kabla hujaanza kufurahia ushindi huo, wanahasira na wewe zaidi ya unavyodhani.
Hapa ccm tutawaondoa wwnyewe, wao waende huko huko Syria, na Palestina.
Hata hiyo moja imemshinda. Wanajeshi wanaendelea kugomea mpango wake wa kuendelea na Vita. Putin amekwezwa sana kwenye fikra na propaganda,lakini kiuhalisia ni chenga tuIlikuwa suala la muda tu! Urusi haina uwezo wa kupigana vita mbili!
Vikwazo Urusi alivyowekewa karibu kila sekta ni kama wewe ufungwe miguu na mikono halafu upigane.Hata hiyo moja imemshinda. Wanajeshi wanaendelea kugomea mpango wake wa kuendelea na Vita. Putin amekwezwa sana kwenye fikra na propaganda,lakini kiuhalisia ni chenga tu
Umalaya tu umekutawala akili yako unafikiria bikra tu na wanawake nao watakutana na bikra?Ndugu zangu wasuni na washia tuache kupigania
Mtume wetu akitusia adui yetu Ni mayahud na makafiri
Tuwaangamize Hawa ili mola wetu akatuzawadie katika zile bikra tamu alizotuahidia 😋
Ukifuatilia mitandaoni hasa kule telegram..wanasema palikua na makubaliano...ya transition of power ingawa kwa shingo upande..na wanasema Assad mwenyewe alitoa go - ahead...then akasepa zake.Magharibi imepambana Sana kumuondoa Assad sema Iran na Russia zilijitahidi ilo lisi tokee.
Sasa Russia Kibarua chake kimekua kigumu, Iran kupitia Hezbollah wame ondoka Syria wako Lebanon kwaiyo Assad alikua uchi kwenye ulinzi.
Ndio maana inaonekana kama imekua kazi rahisi kwa waasi kuingia Damascus kuliko ilivyo tarajiwa lakini Mabeberu wa Magharibi wakianza mpango uo Tangu kipindi Cha Obama kilicho tokea wamekisubiri kwa miaka mingi katika uwanja wa vita.
Vp mkuu ina vikwazo vyovyote kutoka western!? Hi I ndio dunia ya unafikiSaudia
Wapo supported na mossad. Clandestine ilifanyika kwa muda mrefuMwisho wake umefika, hana jinsi yoyote ya kumbakisha madarakani.
Ila hii oparesheni ya waasi imenishangaza sana, ndani ya muda mfupi wamechukua nchi!
Kwani Irag ina makundi mangapi yanayotawala kaskazini na kusini!? Alipoweka mkono mmarekani hiyo nchi haiwezi kuwa na amani hata kidogo...Nasemaje akuna kitu kama icho eti wanajeshi kuingia nchi jilani na siraha zao mikononi.
Usibishane mkuu hawajilew hao😀Vipi kuhusu anguko la ukraine mkuu
Unadhani, Zania hivyo hivyo😆Nadhani ni Iran.
Vita 2 zipi hizo ........wakubwa wameshafanya yao.....hapa Iran katolewa kafaraHata hiyo moja imemshinda. Wanajeshi wanaendelea kugomea mpango wake wa kuendelea na Vita. Putin amekwezwa sana kwenye fikra na propaganda,lakini kiuhalisia ni chenga tu
HTS wanaitwa 'magaidi' na nchi za magharibi ila ndio kundi lenye nguvu kati ya makundi yote yenye silaha (ukitoa Wakurdi wanaosaidiwa na Marekani), tuone namna watakavyoaminika mbeleni.
Ila huenda Syria ikaishia kuwa kama Libya tu pale waasi waliotofautiana itikadi za kiimani na kisiasa watakaposhindwa kufikia muafaka.
Hahaha yule anapenda haki lakini BAKWATA hawamtambui, naye HAWATAMBUI vile vile. Wao wanaitana Shia na Suni. Tatizo lao wakianza kukuita Kafir, wanakufyeka.Ni washikaji sn wanapenda haki angalie Sheikh Ponda
Hahaha muda ukifika watakimbizwa mchana kweupeee. Nami nitakuwa nashangilia kama mpira vile kwa Mkapa.CCM aliwaondoa makaburu huu ukanda wa kusini mwa Afrika kote wanamuelewa , sembuse leo waje kutolewa na wanaofadhiliwa na ma lgbt kazi ipo
Kumbe utakua unashangilia........hautakua katika wale watakao kua wanawakimbiza.....basi ngoja ufanyiwe homework yako kijanaHahaha muda ukifika watakimbizwa mchana kweupeee. Nami nitakuwa nashangilia kama mpira vile kwa Mkapa.
Mbona imekua mapema kiasi hichiMapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram.
People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's half-century reign can now come home, the rebels say.
It will be a "new Syria" where "everyone lives in peace and justice prevails", HTS says
BBC
=====
View attachment 3171862
Alfajiri ya leo, Desemba 8, 2024, utawala wa miaka 53 wa familia ya Assad nchini Syria umefikia kikomo rasmi.
Vikundi vya waasi vimechukua udhibiti wa mji wa Damascus, huku Rais Bashar al-Assad akiripotiwa kukimbilia mafichoni kusikojulikana.
View attachment 3171863