Mtu hata kama huamini Biblia basi inabidi tu ukubali tu aliyeitunga ana akili nyingi sana... hicho kitabu cha Isaiah ni cha agano la kale.. cha zamani kuliko Yesu hapa duniani halafu mambo yanatokea kweli.. pia ina maana mji wa Damascus ulikuwepo kitambo miaka 2000+ iliyopita... umekuja kuharibiwa enzi zetu hizi... ila ndio hivyo neno lazima litimie.
Jamaa kidogo alikuwa anapenda wakristo... sasa hawa walioingia sasa hivi sijui itakuaje... Syria ni moja ya nchi za kwanza za kikristo duniani kabla ya kuvamiwa pamoja na armenia, ethiopia... ndio maana mtu akisema ukristo ulianzia ulaya namuona jau
Nashangaa kabisa siku tano baada ya Bashar Assad kuangushwa hakuna optimism yoyote Syria.
Kila mtu anasema ,"We don't know what is going to happen next.".
It is unnatural. Hakuna yale matumaini na furaha ambayo huwa yanaambatana na tukio kama hili.