Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Canada, ndio wapi? Vitenge vya Samia tunafungia vyoo vyetu huku na mabafu, na baadhi wanachambia.Hehe keyboard warrior inawezekana hata upo canada unawaingiza wenzio chaka.....huku tunajuana bwana we
Haya chamba kwema.....hayo ni maamuzi yako kama demokrasia ya mzunguCanada, ndio wapi? Vitenge vya Samia tunafungia vyoo vyetu huku na mabafu, na baadhi wanachambia.
Mtu hata kama huamini Biblia basi inabidi tu ukubali tu aliyeitunga ana akili nyingi sana... hicho kitabu cha Isaiah ni cha agano la kale.. cha zamani kuliko Yesu hapa duniani halafu mambo yanatokea kweli.. pia ina maana mji wa Damascus ulikuwepo kitambo miaka 2000+ iliyopita... umekuja kuharibiwa enzi zetu hizi... ila ndio hivyo neno lazima litimie.Huu unabii wa Isaya unaonekana hata sasa
Jamaa kidogo alikuwa anapenda wakristo... sasa hawa walioingia sasa hivi sijui itakuaje... Syria ni moja ya nchi za kwanza za kikristo duniani kabla ya kuvamiwa pamoja na armenia, ethiopia... ndio maana mtu akisema ukristo ulianzia ulaya namuona jauKabisa mkuu afu Bashar hakua mdini sana hata wife wake na familia kiumjula walikua kama wazungu tu