kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Maana yake bunge la katiba ndio litaamua serikali ngapi sio tume ya Warioba.Ila takwimu za kwako ndo zimethibitisha kuwa wananchi wanataka serikali2? Maoni hayo ulikusanya lini?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake bunge la katiba ndio litaamua serikali ngapi sio tume ya Warioba.Ila takwimu za kwako ndo zimethibitisha kuwa wananchi wanataka serikali2? Maoni hayo ulikusanya lini?!
Sio sample ni wawakilishi. Kuna wabunge wa SMT na wawalishi znz na pia makundi yamewakilishwa. Halafu sheria ya Bunge la katiba imewapa mamlaka kutunga katiba.Bunge lenye watu 600 ndio proper sampling ya watanzania milioni 30?