Rais atoe tamko waraka wa rasimu ya katiba mpya wa CCM’

Ila takwimu za kwako ndo zimethibitisha kuwa wananchi wanataka serikali2? Maoni hayo ulikusanya lini?!
Maana yake bunge la katiba ndio litaamua serikali ngapi sio tume ya Warioba.
 
Katika utafiti kuna kitu inaitwa 'sampling' ili kuhakiki kama una 'sample' wakilishi. Inadaiwa kitakwimu maoni kuhusu idadi ya serikali sio wakilishi.

Inadaiwa!!
Kumbe siwezi kuulizia uthibitisho...
 
Maana yake bunge la katiba ndio litaamua serikali ngapi sio tume ya Warioba.

Bunge lenye watu 600 ndio proper sampling ya watanzania milioni 30?
 
Bunge lenye watu 600 ndio proper sampling ya watanzania milioni 30?
Sio sample ni wawakilishi. Kuna wabunge wa SMT na wawalishi znz na pia makundi yamewakilishwa. Halafu sheria ya Bunge la katiba imewapa mamlaka kutunga katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…