Rais au Mfalme kufanywa Mateka

Rais au Mfalme kufanywa Mateka

Kweli mkuu manabii wa mchongo walikua wqnapewa maono ki mchongo tu!.😀😀😀Dahh ila siasa za dunia hii

Ushaambiwa "labda mambo yaharibike Sana"

Kwa sasa watu wanaongea ilimradi ionekane kunaongelewa. Lakini Kipindi cha nyuma kidogo paliongeleka haswa
 
RAIS AU MFALME KUFANYWA MATEKA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Mnaweza kumlaumu Rais au Mfalme wa watu. Mnaweza kumzodoa Mtawala wa watu. Mnaweza kumchukia Kiongozi wa watu. Maskini! Kumbe mwenzenu ametekwa kitambo! Ni mateka!

Unajua kuna watu wanafikiri ili uwe mateka unatakiwa kufungwa Kamba. Kuteswa Kimwili. Kunyimwa baadhi ya HAKI zako. Nope! Sio lazima hayo ingawaje hayo pia ni sehemu ya mambo ya Mateka.

Kuna utekaji mwingine Murua Kabisa ambao wengi hawaufahamu au tuseme sio Maarufu.

RAIS, mfalme, watawala na viongozi pia wanaweza Kutekwa vizuri Tuu na Wakawa Mateka. Na wasiweze kufanya lolote lile.

Ingawaje kwa Nje wanaonekana kupewa Mamlaka na nguvu Fulani za maamuzi lakini Kwa ndani ukifuatilia hawana nguvu zozote Wala Mamlaka yoyote Ile. Ni MATEKA.

Rais au Mfalme, au Mtawala au kiongozi anaweza kufanywa Mateka Kwa namna MBILI;
1. MFUMO WA UTEKAJI ULIOSUKWA NA WATEKAJI.
2. UDHAMINI
Kudhaminiwa na Genge Fulani la Wahuni.

1. MFUMO WA UTEKAJI ULIOSUKWA NA WATEKAJI
Njia rahisi na inayofanya Kazi kwa ufanisi Kabisa ya kumteka Mfalme au Rais au Mtawala yoyote ni Njia ya MFUMO.
Njia hii ndio rahisi na yenye weledi katika utekelezaji wake.

Njia inategemea mambo Makuu yafuatayo katika kuisuka;
a). Mifumo wa Katiba, Sheria Kanuni na vyombo vya Maamuzi.
Unataka kuanzisha taifa lako au nchi yako. Lakini unajua Kabisa hutaishi Miaka mingi ukiwa na nguvu. Hivyo utawala kwa Miaka isiyozidi 45 ukiwa na nguvu zako Kabisa.
Na unataka hata usipokuwa na nguvu, au hata ukiondoka watoto au kizazi chako kifaidi. Basi itakupasa usuke Katiba, Sheria, mifumo ya utoaji maamuzi itakayomteka Rais, Mfalme, Mtawala ambaye atakuwako baada yako.

Njia hii inaufanisi kwa Sababu hata Akitokea Mfalme au Rais atakayeenda kinyume na wewe Basi ni rahisi kumshughulikia.
Njia hii inatumika kudhibiti Mateka Wasaliti.

b). SUKA VYOMBO VYA DOLA MATEKA ULIVYOVITEKA WEWE KIMFUMO PASIPO VYENYEWE KUJUA VIMETEKWA.
Tayari mfumo wa Sheria ushauweka kudhibiti yeyote isipokuwa wewe na WATEKAJI wenzako.
Hakikisha kwenye mfumo huo havimlindi Moja Kwa Moja vyombo vya Dola. Ili waliopo vyombo vya dola waone wanaishi kwa hisani yako. Kwamba wao ili wawe Salama lazima wakulinde wewe. Na matendo Yao umeyadhamini wewe. Sio Sheria au Katiba ya Nchi.

Hii automatically, itawagombanisha Vyombo vya Dola na Wananchi unaowaongoza. Na hii itakupa advantage ya kuzidi kuwatawala kwa Muda mrefu zaidi.

Kwamba Majemadari ni MATEKA wako
Kwamba Maakida ni MATEKA wako.
Kwamba Makomandoo ni MATEKA wako.
Kwamba Askari na wanajeshi kwa Aina Zao ni MATEKA wako.
Hakuna cha Usalama Wala majasusi wote geuza wawe MATEKA wako. Hivyo ndivyo utakavyoweza Kumfanya Rais au Mfalme yoyote kuwa MATEKA wako kwa Karne nyingi tuu.
Kazi utakuwa umemaliza. Hapo hakuna yeyote atakayeleta ngebe yoyote

Watu wa kawaida wakimuona Rais au Mfalme humtumainia, humlilia shida Zao. Humlilia pale wanapoonewa lakini wenyewe hawatajua Kabisa kwamba Yule wanayemlilia ametekwa. Ni MATEKA.
Hana nguvu zile wanazodhani walimpa au anazo.

2. UDHAMINI
Huwezi kuwa Rais au Mfalme From nowhere. Yaani utoke zako huko Chipumbwe au Kirinjiko uje kuwa Rais au Mfalme kirahisi rahisi tuu. Hiyo ni ndoto au muujiza wa Dunia.
Lazima kuna watu watakushika Mkono. Watakusaidia. Watakuwezesha kuwa Rais au Mfalme.

Watu hao ni wadhamini na maboss wako. Hao ndio watakugeuza MATEKA wako.
Kwa Nje wewe sio MATEKA. Lakini wewe mwenyewe unajijua umetekwa na hao wadhamini wako wanajua kuwa wamekufanya MATEKA wao.

Jambo la muhimu ulijue. Wadhamini wanajua Kabisa, kuna watu ambao sio waaminifu wanaoweza kuwageuka na kuwasaliti hivyo ndio maana huandaa Mpango na mfumo mwingine wa kukudhibiti na kukuweka kwenye Mstari. Ikitokea umekaidi sio ajabu wakakupasua tuu ukapotelea Huko. Kwa shi.ngapi!

Elewa, tayari wenzako wamesuka Mifumo ya kisheria ya kukufanya Mateka wao.
Elewa tayari wenzako wamesuka Mifumo ya kiulinzi na KIUSALAMA ya kukufanya MATEKA wao.
Sasa! Sasa! Unapotaka kuwasaliti utaanzia wapi?

Askari wanaokulinda wengi wao hasa wale wenye uwezo Mkubwa walishanunuliwa na sio ajabu walisomeshwa na haohao wadhamini wako.
Huwezi kuwajua wote. Tena wengine ni wakali na wenye kujifanya wanauadilifu na wanagombana na ufisadi, uonevu na dhulma lakini kumbe ni drama, geresha na danganyatoto. Ili kuaminisha watu wengi na viongozi ambao wanatamani siku Moja wauondoe mfumo uliopo.
JE utawajuaje?
Ukifikiri mambo kama haya unajikuta unanyong'onyea, unakata tamaa na mwishowe unajisalimisha. Na sasa wewe ni MATEKA.

RAIS AU MFALME asiye na maamuzi.
Mfalme au Rais asiyekuwa upande wa watu wake.
Hahahaha! Inachekesha Sana lakini inasikitisha.

Embu niambie utafanya nini wewe?

Mwishowe Kabisa nawe itabidi ujiunge nao. Uwe Mtekaji ili angalau maisha yako yaende.

Je ni namna gani ya Mfalme au Rais kujikomboa asiwe MATEKA?
Namna gani ya kuvunja mifumo ya utekaji wa watawala utakapokuwa Rais au Mfalme?
Hiyo ni Mada ya siku nyingine.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Attachments

  • UDIKTETA MWALIM NYERERE.jpg
    UDIKTETA MWALIM NYERERE.jpg
    100.1 KB · Views: 3

Chura Kiziwi - Kizimkazi moko
Screenshot_20241207-221210.jpg
 
Kazi sana. Kuna wakati mashambulizi yanakuwa makali. Timu inarudi katikati ya uwanja, mara wanarudi nyuma. mara wanarudi kama magolikipa. mara wameingia wenyewe wavuni.
 
Ujumbe umefika, japo umeufikisha kiuoga mno!
 
Back
Top Bottom