ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 482
Ukisikia upimbi ni huu. Haya bavicha tunafikaje . Mi nlizani atawajengea nyumba!
get well soon tl
get well soon tl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John Bocco kageuka John Mcharo dadeki.Karibuni sana mjenge huku natamani niwe Jirani wa John Bocco niwe dada yake wa hiari
mh uwe dada yake wa hiari?Karibuni sana mjenge huku natamani niwe Jirani wa John Bocco niwe dada yake wa hiari
Acha utahira na ukeg.e, kuna aina tatu tu za kujibu maswali, au kujibu hoja.
Ni swali la mtego kweli ukiangalia pale kila kitu kiliandaliwa kwa ajili ya kiki, ndio maana wakati anaongea akamvutia kwenye maiki ili wasikike jambo ambalo halina haja kimsingi.. Alimuuliza km sh ngap anahitaji na nina amini alikuwa kaandaliwa hiyo hiyo milioni 5 ni aheri angeropoka tu, nahitaji milion 10.Swali la mtego.
HahaaaaaNi kweli na wivu ndio SHIDA YENYEWE.
Kamata mpunga onyesha juhudi utapata ndugu kibao achilia mbali marafiki na zaidi ya yote wachumba wa kumwagaJohn Bocco kageuka John Mcharo dadeki.
Kipi hicho mkuu ni dada tuu wa hiyari kwa sababu Bocco ni kama mdogo wangumh uwe dada yake wa hiari?
kuna kitu umetuficha hapa
Mheshimiwa. Rais ametoa motisha kubwa sana na zawadi nzuri sana kwa wachezaji,kila la heri timu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha subiri astaafu kuichezea Simba maana kuwa dada yake wa hiari itafika hadi zaidi ya dadaKaribuni sana mjenge huku natamani niwe Jirani wa John Bocco niwe dada yake wa hiari
of course! Ni wizi wa hela za walala hoi!
Wewe ndio umesema siyo wao
Kwa atakaye kiuza, baada ya miaka minne atajilaumu sana.Safi sana, ila wataviuza na kuja kujenga Dar
Sioni mantiki,kwani wao hawakupata motisha ya kipindi hiko,walikula cent zao kama walizitumia vibaya wao hatujui,si mbaya ni wazo piaAwape pia ile timu iliyofuzu mwaka 80. Wapeni akina Tino pesa ya nguvu jamani hawa ndio waliocheza kwa uzalendo wa dhati. Hao madogo mabishoo tu + bahati.
Naomba akina Tenga wasimamie hili ili wale wote walio hai wapate 'haki' yao na waliofariki familia zao ziwe honored with fedha offcourse.
Punguani mkubwaAcha utahira na ukeg.e, kuna aina tatu tu za kujibu maswali, au kujibu hoja.
Nimetumia lugha rahisi sana ili nieleweke kuwa dodoma jua ni kali sanaaa mazeruzeru na wanaojichubua wanapata tabu sana (siwaweki kundi moja mazeruze kilaru na wanaojichuna ngozi) .
Albino ni kiingereza kiswahili ni zeruzeru.
Dole la kati nakukatia.Punguani mkubwa
Ila mkubwa augustino Peter (tino )apunguze usela ile khutba yake huku anarusha mikono kama yupo maskani mision kota umri umeenda hata hivyo kaambulia milioni 5 usawa huu si haba.Ni swali la mtego kweli ukiangalia pale kila kitu kiliandaliwa kwa ajili ya kiki, ndio maana wakati anaongea akamvutia kwenye maiki ili wasikike jambo ambalo halina haja kimsingi.. Alimuuliza km sh ngap anahitaji na nina amini alikuwa kaandaliwa hiyo hiyo milioni 5 ni aheri angeropoka tu, nahitaji milion 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
punguani mzeeDole la kati nakukatia.