Rais awapatia Wachezaji wa Taifa Stars Viwanja vya kujenga Dodoma

Sioni mantiki,kwani wao hawakupata motisha ya kipindi hiko,walikula cent zao kama walizitumia vibaya wao hatujui,si mbaya ni wazo pia

Zamani walikuwa hawalipwi chochote ndugu yangu. Ni haki yao kulipwa sasa iwe kama pensheni yao. Tino na wenzake walipwe mihela na viwanja eka 2@
 
Zamani walikuwa hawalipwi chochote ndugu yangu. Ni haki yao kulipwa sasa iwe kama pensheni yao. Tino na wenzake walipwe mihela na viwanja eka 2@
kama walikuwa hawalipwi chochote ilikuaje Mkwasa na Tenga wakatoboa, N a miaka hiyo wengi walipita hata wazazi wetu walitusua miaka hiyo
 
kama walikuwa hawalipwi chochote ilikuaje Mkwasa na Tenga wakatoboa, N a miaka hiyo wengi walipita hata wazazi wetu walitusua miaka hiyo

Tino kapewa mil5 na kiwanja Dodoma. Great...
 
Yaani kuna wachezaji wameenda na yebo/track suits Ikulu? TFF kwa nini hawakuwaandaa hata na kasuti ka mtumba?
 
Watavipiga bei tu Dodoma si sehemu ya kuishi wallah kuna jua kali vibaya mno wenye ualbino nadhani wanayeyuka
vitawekewa masharti..hakuna kuviuza kwa watu wengine...Dodoma siyo mabwepande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…