Rais Biden afuata nyayo za CCM Siasa na Michezo, afuatilia mubashara USA dhidi ya IRAN Dakika zote 90!

Rais Biden afuata nyayo za CCM Siasa na Michezo, afuatilia mubashara USA dhidi ya IRAN Dakika zote 90!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CHADEMA mmekuwa mnajiweka mbali sana na michezo na sidhani hapo Ufipa St mna sera ya michezo.

Karibuni hapa Lumumba mjifunze michezo ni siasa.

Hadi mwisho USA 1 IRAN 0, Biden akatoa salam kwa taifa, timu na wachezaji.
 
Biden ni Rais wa US, chama pinzani kuna kina Trump, Sasa tuambie Chadema ndio ina Rais? na kama unamaanisha kila upinzani walitakiwa kuangalia michezo je kina Trump jana waliangalia wakiwa wapi na walitoa salamu gani?
Na je una uhakika viongozi wa Chadema hawakuangalia mechi? Na ulidhani TBC wangeweza kwenda kwenye majumba ya viongozi wa Chadema wakaangalie kama wanatazama mipira?
Umesema hujui kama Chadema wana sera ya michezo? Sasa si ungejipa muda ukajua kuwa hiyo sera ipo au haipo?
Kwani mkiwa vijana wa CCM hamruhusiwi kutumia akili zenu za kuzaliwa? Au sera ya CCM ni kuhakikisha inakuwa na wanachama wenye akili ndogo ili wasiweze kuhoji ujinga wa viongozi??
 
Back
Top Bottom