Rais Biden amtunuku nishani ya heshima askari aliyekaidi amri katika uwanja wa vita Vietnam

Rais Biden amtunuku nishani ya heshima askari aliyekaidi amri katika uwanja wa vita Vietnam

Angalao wenzetu wanakupa heshima ukiwa ungali hai.

Hapa nyumbani ukishakufa sifa zako utasomewa ukiwa maiti saa chache kabla hujachimbiwa ardhini.
 
Katika nchi ambayo natamani kufika ili nikafanye utalii ni Vietnam na Bangkok Thailand naamini mwakani ntaanza nanchi moja wapo
 
Back
Top Bottom