johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahyo yeye ndie aliemtuma Putin kuivamia Ukraine?Aondoke tu! Ameiacha dunia ikiwa kwenye migogoro ya vita ambayo imechochewa na yeye!
Pongezi za nini mtu amelazimishwa kuachia ngazi?Anastahili pongezi kwa kuachia Uraisi sio kama akina Putin maraisi wa maisha milele na milele.
Ni wangapi wanalqzimishwa lakini hawataki.Pongezi za nini mtu amelazimishwa kuachia ngazi?
Mkuu kina Putin wanaichangamsha dunua. Bila wao dunia itakuwa sehemu moja bored sana kama Yanga wanavyotawala mpira wa bongo.Anastahili pongezi kwa kuachia Uraisi sio kama akina Putin maraisi wa maisha milele na milele.
Dunia inahitaji Amani na utulivu.Mkuu kina Putin wanaichangamsha dunua. Bila wao dunia itakuwa sehemu moja bored sana kama Yanga wanavyotawala mpira wa bongo.
Mwanademokrasia wa kweli hasubiri kulazimishwaNi wangapi wanalqzimishwa lakini hawataki.
Kabwa hajawa rais hiyo migogoro haukuwepo , akili za wavaa kobazi hiziAondoke tu! Ameiacha dunia ikiwa kwenye migogoro ya vita ambayo imechochewa na yeye!
Putin alazimishwe tuone.Mwanademokrasia wa kweli hasubiri kulazimishwa
Ndo ivyo hajalazimishwaPutin alazimishwe tuone.
Nani atathubutu.Ndo ivyo hajalazimishwa
Ni aibu kwa usa kuwa NA RAIS KAMA BIDEN MTU ANAONGEA KAMA KIBOGOYONani atathubutu.
Mbona nanihii hajaenda??Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake
Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea
Soma Pia: Biden anasema aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani ili 'kuokoa Demokrasia'
Al Jazeera news
Hawathubutu kwakuwa wanamkubaliNani atathubutu.
RubbishHawathubutu kwakuwa wanamkubali
Basi neno "Aibu" litakuwa limepoteza maanaNi aibu kwa usa kuwa NA RAIS KAMA BIDEN MTU ANAONGEA KAMA KIBOGOYO