Rais Biden awaaga Marais wenzake kwenye Mkutano wa 79 wa UNGA

Rais Biden awaaga Marais wenzake kwenye Mkutano wa 79 wa UNGA

Anastahili pongezi kwa kuachia Uraisi sio kama akina Putin maraisi wa maisha milele na milele.
Mkuu kina Putin wanaichangamsha dunua. Bila wao dunia itakuwa sehemu moja bored sana kama Yanga wanavyotawala mpira wa bongo.
 
Back
Top Bottom