Rais Biden: Putin alikosea kufikiri Mataifa ya Magharibi hayatojibu alipoishambulia Ukraine

Russia haitishiki na maneno ya kanga [emoji635]
Wewe ndio kina putini hamjajua chochote mbeleni, siku hizi mbili tu tokea kutangazwa kwa vikwazo tayari Russian feels the pain
 
Marekami kawa kama simba karatasi......hana jipya tena.
Ukraine anapigwa na hakuna cha kumfanya Urusi
Ndivyo unavyoona kwa macho yako sasa, dunia na mataifa hulenga maisha yao mbeleni zaidi, baadae Marekani ataeleweka alimaanisha nini
Wenzetu wako mbali sana kwenye mipango ya kidunia ni bora ungekaa kimya kutazama tu
 
Wewe ndio kina putini hamjajua chochote mbeleni, siku hizi mbili tu tokea kutangazwa kwa vikwazo tayari Russian feels the pain
Tokea 2014 Putin anawekewa vikwazo tokea alivyovamia ctimea,alivyoingilia uchaguzi wa us alivyowawekea sumu wale majamaa kule Uk..

Sanctions si suala geni kwa Putin gesi za ukraine zitaenda Russia kufidia
 
Sisi tulijua mutashoboka na mukijikanyaga mmekwisha.

Tumejiandaa kwa kilakitu
Wewe uliyejiandaa una msaada gani hapo urusi au nikurukaruka tu kama chura?

Sasa maneno hayo yalipaswa yasemwe ni mrusi lkn wewe na mimi hata kuisikia harufu yake hatuijui leo unasema umejipanga. Hahahhahaha
 
Kumbukeni Russia ilivamia Crimea, sanctions za kufa mtu, akavamia Georgia, sanctions kama zote. Russian rouble ikaweweseka kishenzi, I remember those days rouble ilishoot toka 25rouble kwa dola hadi 56rouble kwa Dola, but they stood firm.

Russia sio wageni wa US sanctions hata kidogo, and are still strong!
 
Tokea 2014 Putin anawekewa vikwazo tokea alivyovamia ctimea,alivyoingilia uchaguzi wa us alivyowawekea sumu wale majamaa kule Uk..

Sanctions si suala geni kwa Putin gesi za ukraine zitaenda Russia kufidia
Ndio mana nasema hujajua chochote, hivi vikwazo vipo kwa grades sasaiv putini vikwazo vimeongezeka kikiwemo hichi cha kutofanya malipo yoyote international lakini anga za nchi mbali mbali kufungwa, raia wake kutoingia magharibi nk. haya yote ni mapya natayari russian feels the pain wameanza kulalamikia collective sanctions hata china rafiki zao wamekuja juu kwa hili la sasaivi ndio mana Biden anamwambia putini sasaiv anaweza asielewe chochote lakini mbeleni ataelewa dunia ilimaanisha nini kwake na nchi yake
 
Wewe ndio kina putini hamjajua chochote mbeleni, siku hizi mbili tu tokea kutangazwa kwa vikwazo tayari Russian feels the pain

Mpaka jana lita milion 170 marekani imeendelea kuagiza kutoka russsia[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe uliyejiandaa una msaada gani hapo urusi au nikurukaruka tu kama chura?

Sasa maneno hayo yalipaswa yasemwe ni mrusi lkn wewe na mimi hata kuisikia harufu yake hatuijui leo unasema umejipanga. Hahahhahaha
We unavyo fikili Putin kaingia Ukrein kichwakuchwa tu,
Aliyajua yote haya na anajua atayamaliza vipi. We tuliza fuvu lako chini uwone mipango inavyo kwenda kama ilivyo pangwa
 
Kama ni hivyo basi haya mambo ni magumu kuyaelewa. Ebu leta source ya hii habari yako.

kwa mujibu wa senetor joseph munchin wa west virginia, marekani ipo kwa ajili ya masrahi yake tu,

inashinikiza nchi zengine kuiwekea vikwazo urusi huku yenyewe ikiendelea
 
kwa mujibu wa senetor joseph munchin wa west virginia, marekani ipo kwa ajili ya masrahi yake tu,

inashinikiza nchi zengine kuiwekea vikwazo urusi huku yenyewe ikiendelea
Na mbaya zaidi vikwazo vinawakwaza pia wanaoviweka. Vinatafuna kote kote. Angalia Ulaya wanalilia bei ya gas kupanda, bei ya mafuta, n.k
 
hivi kwanini sisi waafrika tusimsaidie ukraine kwani marekani tuu...io siku haya mataifa kama urusi yatavamia na kuanzisha ukoolono na hakua wakmfanya kitu hivi leo mrussi akisema tanzania lilikua koloni langu itakuwaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…