Rais, Bunge, Mahakama, Polisi, jeshi na viongozi wa dini wote wametusaliti. Bora tujipambanie wenyewe

Rais, Bunge, Mahakama, Polisi, jeshi na viongozi wa dini wote wametusaliti. Bora tujipambanie wenyewe

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,859
Reaction score
2,894
Ni dhahiri watanzania kwa sasa ni yatima ni wapweke hawana msaizidizi wa kuwasemea wala kuwasaidia ni bora tujipambanie wenyewe maana sisi ndio wakazi wa nchi hii ni yetu hii wengine hao wanajiandalia makazi nje ya nchi hivyo hata wakiharibu hawajali
 
FB_IMG_1763282777314.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1763149270556.jpg
    FB_IMG_1763149270556.jpg
    15.8 KB · Views: 22
Kuwa mpole jeshi halijatusaliti mkuu, nakumbuka hapa Arusha jeshi liliwakemea askari waliokuwa wanarusha risasi hovyo wakapotea kabisa tukabaki na wanajeshi waliokuwa wanatutia moyo kwa hali mbaya iliyokuwepo.

Wanajeshi wetu wabarikiwe sana walionesha uzalendo wa hali ya juu sema viongozi wa juu wa kijeshi ndio walikuwa machawa wa watawala
 
Ikitokea mwanajeshi mwenye roho mzuri, halafu mkuu wake akiwa na roho mbaya, automaticaly hata huyo mwenye roho mzuri atakua na roho mbaya, ogopa sana hizi kazi ambazo huwezi kupinga amri ya mkuu wako.
 
Viongozi wa dini mliosimamia ukweli mpaka sasa Mungu awabariki sana.
Ni wakatoliki pekee ndio walio simama na kweli ya mungu haya majizi mengine ni mawakala wa shetani malasusa anakutana na viongozi wa serikali anakula rushwa huyu halafu anajiita kiongozi wa dini? Mavi kabisa
 
Huyo Malasusa ni wakala wa shetani Samia
 
Back
Top Bottom