Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.
Ziara hiyo ya kushtukiza ilikuwa na lengo la kujionea hali ya chakula ilivyo na bei zake.
Dk. Mwinyi alikuwa akipata maelezo kutoka kwa wafanyabishara hao kuhusiana na bei za vyakula na upatikanaji wake.
[emoji413]12 Februari 2023,
[emoji625]Pemba.View attachment 2515074