Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.

Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.

Ziara hiyo ya kushtukiza ilikuwa na lengo la kujionea hali ya chakula ilivyo na bei zake.

Dk. Mwinyi alikuwa akipata maelezo kutoka kwa wafanyabishara hao kuhusiana na bei za vyakula na upatikanaji wake.

[emoji413]12 Februari 2023,

[emoji625]Pemba.View attachment 2515074
IMG-20230212-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom