GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na hapa ndiyo Kosa Kubwa Marais wengi Wateule hasa wa Barani Afrika huwa mnafanya kwa kuja na Honey Speech zenu tena za Kusisimua na kutia Moyo ila implementation huwa ni Zero.
Rais Mteule wa Kenya Dk. William Ruto baada ya kukusikiliza Kiumakini na Hotuba yako ambayo kwa 90% imelenga Uchumi wa Kenya na Wakenya GENTAMYCINE nikalazimika kidogo kufanya Utafiti wangu wa Facts ( Data ) za Uchumi wa Kenya na nilichokikuta hakiendani na Ahadi zako lukuki.
Rais Dk. Ruto Kenya yako sasa inahangaika Kiuchumi, Wananchi wako wanalia Njaa, hawazalishi kile cha Kuwatosha na hata cha Kuuza Nje je, hii Jeuri kuwa utaibadilisha Kenya overnight unaitoa / umeipata wapi?
Umewadanganya mno Wakenya.