Rais Dkt. Hussein Mwinyi amejipanga kwenye nini??

Rais Dkt. Hussein Mwinyi amejipanga kwenye nini??

Kwanza Nimpe Pole Sana Dr Hussein Mwinyi kwa kuondokewa na Baba Yake Kipenzi Mzee Rais Mstaafu Ali Hussan Mwinyi Kilichotokea Mwezi uliopita Tar 29 Feb 2024.

Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi.

Salamu zingine leo ni kumpongeza Rais Dr Hussein Mwinyi kwa kazi nzuri anayofanya Ktk Visiwa vya Zanzibar.

Amejipanga kuleta mabadiliko ktk Nyanja zote za kijamii, Uchumi na Maendeleo.

Tangu alipoingia madarakani Wananchi wa Zanzibar wanashuhudia mabadiliko kadha wa kadha hasa ujenzi wa miundo mbinu barabara, shule, hospitali, na mifumo ya kisiasa imeimarika.

Licha ya hayo Kwa Ukarimu wake na umahiri wake wakutebda kazi bado huwezi kumsikia akijigamba. Siku zote kauli yake ni, sisi tume......tuta.....tuna....

Zanzibar imekuwa na utulivu, amani, na maendeleo yameanza kuonekana.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumjalia Khekima, Umoja na Upendo ili azidi kuwatumikia Wazanzibar kwa nguvu zote.

Kwa utulivu ulioko Zanzibar kwa sasa inaonekana Raia wote wamemkubali

Insha Allah Asalam Aleykum.
Kwani huko sukari imepanda bei na je umeme unashida kama bara?
 
Back
Top Bottom