Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mgeni Rasmi Sherehe Za kukabidhi Kombe Kwa Bingwa Wa VPL Leo Tarehe 19/05/2018



Aaaaah, ZANU yetu/ yao.

Tunapokezana vijiti, Rais ajaye atakuwa mnazi wa Yanga ila asiwe Mwingulu.

Chagua kati ya Jerry Muro, Mzee Akilimali na Nsajigwa. Aaaaaah!!

Wakichukua Lipuli ya Iringa au Nazareth ya Njombe tutatafuta MTU sahihi wa kuwakabidhi.
 
Unachopaswa kuelewa ni kwamba matukio ya kuzindua yameisha sasa tutawalaumu TFF bure kumbe utakuta TFF imeagizwa tu kuandika barua ya kuomba mgeni rasmi, na kama wewe ni mdadisi tangazo la ugeni rasmi lilitolewa kabla ya conformation kutoka ikulu.

Unajuwa mpira una mashabiki wengi, leo kuna mipumbavu ya Simba haitoona ugumu wowote wa maisha na ufukara unaotukabili kisa tu mtu fulani anawakabidhi kombe.

Ujinga kama huu upo kwenye nchi ambazo bado zinasumbuliwa na magonjwa kama kipindupindu na utapiamlo.

Uliza ligi kubwa duniani ya Uingereza Manchester City wamekabidhiwa kombe na nani?

Ni makosa makubwa timu ya Taifa ya vijana ambayo ni ya Watanzania wote, sherehe zake kuzichanganya na klabu ya Simba, huu ni ujinga usiovumilika.
 
hii ni mupya duniani kote, labda kocha moya wa timu ya taifa atatangazwa, fedha tunazo!
 
Yanga roho inawauma hongeren Simba kwa ubingwa tena bila kufungwa
 
Yaani simba wanaroho mbaya hadi mto msimbazi wameamua kuupitishia kwenye eneo LA yanga na huwa unamwaga kwenye uwanja wao Kaunda unakua kama bwawa LA samaki na leo wanapewa kombe na presdaa

Acheni roho mbaya simba
Hahahahah
 
Mkome tuliwaambia jamaa akija hamshindi [emoji23]
 
Wewe ni zezeta Rais alialikwa hapo kwa ajili ya makombe mawili lile la timu ya taifa ya watoto wasiojiweza na ile ya Serengeti boyz waliyochukuwa baada ya kuchukua kombe kule Burundi nadhani hii ya Simba imetokea tu juu kwa wakaamua kumuomba nayo aunganishe ila sijaona ubaya wowote kwenye hilo mambo ya siasa kwenye mpira hakuna usituletee siasa kwenye mpira wetu acheni uzezeta nyiye watu wa manyumbu
 
Yanga roho inawauma hongeren Simba kwa ubingwa tena bila kufungwa
Wewe upo nchi gani? Simba imeshapigwa kidude na Okwi penati yake imepanguliwa na Juma Kaseja.

Kagera 1 Simba 0.

There is only one Kaseja.
 
"Ndondo cup ikichukua kombe la afrika nitakuja kuwakabidhi".
Rais mnae aiseee yaan jamaa sijui kipi anakifaham
 
Leo atagawa na mapapai pia?
Ikiwa atagawa basi wadau mnistue niwahi taifa nami nijumuike.
 
Simba mmebebwa saana hadi raisi kawaambia mnacheza mpira mboovuuu ...penalty ya Okwi mbele ya raisi ni aibu ..TFF mjitathimini ....
 
Hata
Hata hivyo wametobolewa Tundu moja, hata Mh. Kawapa makavu live bila chenga walivyo weupe kabisa kwenye soka la kisasa. Record imeandikwa n'a haifutiki, kufungwa mara ya pili mbele y'a mkuu wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…