The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025.
Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa siku ya Jumamosi tarehe 08 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu, Zanzibar.
(Mhandisi Zena A. Said)
KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI NA KATIBU MKUU KIONGOZI, ZANZIBAR.