Rais Dkt. Mwinyi: Maridhiano ni mwanzo wa kazi

Rais Dkt. Mwinyi: Maridhiano ni mwanzo wa kazi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Wananchi kutambua kuwa hatua ya maridhiano iliyofanyika visiwani humo siyo mwisho wa safari bali ndiyo mwanzo wa kufanya kazi katika kujenga nchi.

Akizungumza leo Septemba 22, 2026 visiwani Zanzibar wakati akihutubia baada ya zoezi la kumuapisha Makamu wake mpya Othman Masoud kutamatika. Amesema kuapishwa kwa makamu huyo ni hatua muhimu katika utekelezaji wa matakwa ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 toleo la 2010.



​
 
Back
Top Bottom