Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Sep 27, 2024 #1 Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia. Your browser is not able to display this video.
Rais Dkt. Samia amehimiza jamii kutumia nishati safi ya kupikia. Your browser is not able to display this video.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 27, 2024 #2 Washushe bei ya umeme tupikie majiko ya umeme, bwawa la mwalimu Nyerere lina umeme wa ziada kwa nini tuendelee kuteseka, hivi maccm yana laana?
Washushe bei ya umeme tupikie majiko ya umeme, bwawa la mwalimu Nyerere lina umeme wa ziada kwa nini tuendelee kuteseka, hivi maccm yana laana?
A Afroman JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,443 Reaction score 1,927 Sep 27, 2024 #3 Dr Matola PhD said: Washushe bei ya umeme tupikie majiko ya umeme, bwawa la mwalimu Nyerere lina umeme wa ziada kwa nini tuendelee kuteseka, hivi maccm yana laana? Click to expand... Maccm hayataki watu waishi Kwa Raha hata kidogo, ni mashetani makubwa sana!
Dr Matola PhD said: Washushe bei ya umeme tupikie majiko ya umeme, bwawa la mwalimu Nyerere lina umeme wa ziada kwa nini tuendelee kuteseka, hivi maccm yana laana? Click to expand... Maccm hayataki watu waishi Kwa Raha hata kidogo, ni mashetani makubwa sana!
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Sep 27, 2024 #4 nakubaliana na mama