Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Tulioko kwenye sekta hiyo tunamjua vizuri.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri ni wachapakazi sanana wanafanya kazi nzuri hivyo kuwapa miezi mitatu kuhakikisha maji yanapatikana ndani kwa wakazi wa Mtyangimbole kwani tayari mradi huo umefikia asilimia 50% na wananchi wana matumaini makubwa sana.
Mradi huo uliogharimu kiasi cha Bilion 5.5 na utakaohudumia wananchi zaidi ya elfu kumi na nne umewekewa jiwe la msingi na Mhe Rais Samia leo tarehe 24 Septemba 2024 kwa niaba ya miradi 30 inayoendelea kutekelezwa vijijini Mkoani Ruvuma.
Tusoma na kuwa na uelewa na lugha mbalimbali za kimataifa ili kuweza kupata hata fursa za kibiashara,ajira,uchumi n.k.Lipi washike watoto wetu, wanaambiwa wajifunze kiswahili.
Leo tena How are you!
Nasikia kuna mmoja alienda huko wanaita kimataifa kuiwakilisha Tanganyika akakutana na how do you feel, akabaki kubwabwaja ze ze ze health!
Skills ndiyo kitu muhimu, lugha itakupeleka wapi? huyu maza anatuharibia nchi haswaKindergarten china wanafundishwa kushona, kupika, kutengeneza keki
Sisi hata viwanja vya michezo hatuna mmeviuza vyote
Lugha huh sawa
Lugha bila skills
Ni aibu hata kuyaongelea kwa kweliSkills ndiyo kitu muhimu, lugha itakupeleka wapi? huyu maza anatuharibia nchi haswa
Kuandika tu hufahamu.sasa ni vipi utaelewa ujumbe mzito wa Mheshimiwa RaisHakuna la maana aliloongea, wajuu zake wanasoma wapi?
Kwani nje ya nchi wote wanakwenda kugonga misumari tu?Ni aibu hata kuyaongelea kwa kweli
Ataenda na lugha nje ili iweje kama hajui hata kugonga msumari
Hunaga adabu kabisa wewe.Skills ndiyo kitu muhimu, lugha itakupeleka wapi? huyu maza anatuharibia nchi haswa
CCM imezoea kuomba omba anataka lugha ya kwenda kuomba ChinaNi aibu hata kuyaongelea kwa kweli
Ataenda na lugha nje ili iweje kama hajui hata kugonga msumari
Una laana weweKuandika tu hufahamu.sasa ni vipi utaelewa ujumbe mzito wa Mheshimiwa Rais