mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wakati tunasoma hivyo vyote tulivifanya..Kindergarten china wanafundishwa kushona, kupika, kutengeneza keki
Sisi hata viwanja vya michezo hatuna mmeviuza vyote
Lugha huh sawa
Lugha bila skills
Kushona+kupika
Wakati tunasoma St Joseph forodhani tulikuwa tuna hudhuria
Darasa la ushonaji...mpk namaliza shule nlishona begi langu mwenyewe,na kila mtu alikabidhiwa begi lake,kuna shati tulitengeneza
Mfumo wa elimu ilikuwa uko vzr
Unakuaanda na kukujenga
Watoto sahv we waambie kukata uno na kukariri miziki tu
Ova