Rais Dkt. Samia ampa miezi mitatu Waziri Aweso ahakikishe maji yametoka Mtyangimbole Songea - Ruvuma

Kindergarten china wanafundishwa kushona, kupika, kutengeneza keki
Sisi hata viwanja vya michezo hatuna mmeviuza vyote
Lugha huh sawa
Lugha bila skills
Wakati tunasoma hivyo vyote tulivifanya..
Kushona+kupika
Wakati tunasoma St Joseph forodhani tulikuwa tuna hudhuria
Darasa la ushonaji...mpk namaliza shule nlishona begi langu mwenyewe,na kila mtu alikabidhiwa begi lake,kuna shati tulitengeneza
Mfumo wa elimu ilikuwa uko vzr
Unakuaanda na kukujenga

Watoto sahv we waambie kukata uno na kukariri miziki tu

Ova
 
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Rais hapa kachemka
Hay ni mawazo dhaifu sana
Atuambia waitaly kama wanajifunza kingereza
Atuambie wachina kama wanasoma kwa kingereza
wafaransa
Waisrael
Mexico
russia
india
Hao waturuki movie zao zinaangaliwa kila kona ya hii nchi ?? ni kingereza wanaongea

Kuhisi lugha ndio chanzo n dhahiri uongozi umemshinda anataka kulifanya taifa koloni au nchi ya watumwa.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri ni wachapakazi sanana wanafanya kazi nzuri hivyo kuwapa miezi mitatu kuhakikisha maji yanapatikana ndani kwa wakazi wa Mtyangimbole kwani tayari mradi huo umefikia asilimia 50% na wananchi wana matumaini makubwa sana.

Mradi huo uliogharimu kiasi cha Bilion 5.5 na utakaohudumia wananchi zaidi ya elfu kumi na nne umewekewa jiwe la msingi na Mhe Rais Samia leo tarehe 24 Septemba 2024 kwa niaba ya miradi 30 inayoendelea kutekelezwa vijijini Mkoani Ruvuma.


Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID-20240926-WA0040.mp4
    24.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…