Rais Dkt. Samia aweka rekodi ya mapokezi ya wananchi mkoa wa Lindi

Rais Dkt. Samia aweka rekodi ya mapokezi ya wananchi mkoa wa Lindi

Ni mda sasa wakuwakumbuka kusini siku zote wamekuwa watiifu sana Kwa chama na Serikali Barabara zao bado za kizamani, bandari zao ziboreshwe,mifumo ya elimu Kwa ujumla iwe mizuri,mazao Yao yawanufaishe kama korosho na Ufuta Serikali muwakumbuke
Ccm hawahangaiki na wajinga..huko wakipewa kanga na chumvi shughuli imeisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom