Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo tarehe 22 Agosti, 2024.
Amesema hayo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Suluhu Sports Academy Mkunguni - Kizimkazi Zanzibar, leo tarehe 22 Agosti, 2024.
Agosti 16, 2024, Madau wa JamiiForums.com alisema “Watanzania hatufanyi vizuri kwa kuwa hakuna maandalizi mazuri, pia Viongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) wameongoza kwa zaidi ya Miaka 20 bila medali ya Olimpiki, wanatakiwa kuwajibika kwa kuachia nafasi kwa wengine.”
Pia soma ~ Kwani Serikali inamuogopa Bayi na wenzake? Hatupati Medali Olimpiki kutokana na makandokando ya Viongozi wa juu wa TOC