kamati ya olimpiki tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Leonard Thadeo, ajiuzulu nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania

    Ukisikia amebana ameachia ndiyo hii sasa ya huyu mzee. Mzee wangu Anthony Mtaka unamaombi makali sanaa ========= Aliyeshinda nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) tarehe 05/7/2026 ndugu Leonard Thadeo, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile alichokisema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania IOC na ANOCA Zamtambua Anthony Mtaka kama Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC)

    Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Olimpiki Afrika (ANOCA) zimemtambua rasmi Anthony Mtaka kuwa Rais mpya wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), baada ya uchaguzi uliofanyika Julai 5, 2026 katika Hoteli ya Peacock, Dar es Salaam. Katika barua yao ya Julai 9, 2026 kutoka...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingilia Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC): TOC ijiandae kufungiwa na IOC

    "Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani. Pili, itatusaidia sisi kama Serikali iwapo tumekosea tuweze kujisahihisha na kuendelea kuwakelea...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu akatwa jina na Henry Tandau na Ghulam kwenye uchaguzi wa kamisheni

    Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao ni Henry Tandau na Rashid Ghulamu Sababu kubwa ni yeye simbu kukataa kukimbilia kampuni ya Asics...
  5. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  6. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kashfa kubwa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), waziri pitisha fagio la chuma

    Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia: Hashiriki wetu hawafanyi vizuri Olimpiki kwa kuwa watuna maandalizi mazuri

    https://www.youtube.com/watch?v=Ibe4QGL-jQc Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo tarehe 22 Agosti, 2024. Rais Samia Suluhu Hassan amesema kushindwa kufanya vizuri katika michezo...
Back
Top Bottom