Leonard Thadeo, ajiuzulu nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukisikia amebana ameachia ndiyo hii sasa ya huyu mzee. Mzee wangu Anthony Mtaka unamaombi makali sanaa
=========
Aliyeshinda nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) tarehe 05/7/2026 ndugu Leonard Thadeo, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile alichokisema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na viashiria vingi vya uvunjwaji wa Katiba ya TOC hivyo kwa tafakuri yake aliyoifanya leo amekuja na tamko la jumla la kujiuzulu nafasi hiyo.

Soma Pia:
 
Kwahiyo unarudi uongozi uliopita au?Mzee kakataliwa kimataifa kaamua chafua uchaguzi ili ushindi wa Mtaka uonekane haukuwa wa haki
 
Ukisikia amebana ameachia ndiyo hii sasa ya huyu mzee. Mzee wangu Anthony Mtaka unamaombi makali sanaa
=========
Aliyeshinda nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) tarehe 05/7/2026 ndugu Leonard Thadeo, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile alichokisema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na viashiria vingi vya uvunjwaji wa Katiba ya TOC hivyo kwa tafakuri yake aliyoifanya leo amekuja na tamko la jumla la kujiuzulu nafasi hiyo.

Soma Pia:
Rekebisha andika Bw Leonard Thadeo aliyeshinda uchaguzi wa IOC kwa kupata kura moja ..............
 
Amejiuzulu kwani alichaguliwa, ila anarusaidia kimataifa kuonyesha chaguzi zetu zilivyo na sasa wameamini ni kweli rais wa Tanzania hakushinda bali alijitangaza
 
Back
Top Bottom