Yaani kuna Washenzi jamii ya mwakizimkazi. Baada ya kuona Samia Suluhu amejipachika Urais wa Tanzania na kutumia mtutu wa Bunduki kujiapisha. Na Wananchi wakaufyata, Wakajua kila taasisi Watafanya hivyo itakubalika
Polisi waliagizwa wakamlinde Leonard Thadeo aapishwe. Wakafanya hivyo...
Ukisikia amebana ameachia ndiyo hii sasa ya huyu mzee. Mzee wangu Anthony Mtaka unamaombi makali sanaa
=========
Aliyeshinda nafasi ya Urais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania(TOC) tarehe 05/7/2026 ndugu Leonard Thadeo, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile alichokisema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.