figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yaani kuna Washenzi jamii ya mwakizimkazi. Baada ya kuona Samia Suluhu amejipachika Urais wa Tanzania na kutumia mtutu wa Bunduki kujiapisha. Na Wananchi wakaufyata, Wakajua kila taasisi Watafanya hivyo itakubalika
Polisi waliagizwa wakamlinde Leonard Thadeo aapishwe. Wakafanya hivyo. Kakataliwa na Taasisi Zote hadi amejiuzulu.
CCM heshimu matakwa ya Wananchi. Acha kujiegeuza Mungu.
Sasa hivi Paul Makonda anajisikiaje baada ya Leonard Thadeo kujiuzulu? Aibu sana kwa Waziri.
====
Na Godbless Malisa
Iikuwa ni lazima ujiuzulu maana hiyo nafasi uliipata kiharamu. Inawezekanaje mtu aliyepata kura moja akatangazwa mshindi halafu mwenye kura nyingi akaachwa? Ulipoapishwa kwa nguvu chini ya ulinzi mkali wa mitutu ya bunduki ni ishara kwamba hukuchaguliwa. Kiongozi aliyechaguliwa na watu ushindi wake haulindwi na mitutu, unalindwa na watu.
Matokeo ya uchaguzi ule yalikuwa kama ifuatavyo:
1. Anthony Mtaka - kura 29
2. Henry Tandau - kura 6
3. Leonard Thadeo - kura 1
Jambo la ajabu Mtaka aliyepata kura 29 akaachwa, Tandau mwenye kura 6 akaachwa, wewe mwenye kura 1 ndio ukatangazwa mshindi. Na bila aibu ukakubali. Utamuongoza nani na kura moja? Yaani kati ya wajumbe wote wa TOC hakuna aliyekupa kura, zaidi ya kura yako moja? Kura ulijipigia mwenyewe halafu unataka uongoze ambao hawakukupa kura? We ulisikia wapi?
Wewe na wajumbe wote wa Kamati ya TOC mliotangazwa kwa mitutu ya bunduki na kujiapisha mlikua batili (null and void ab initio). Hamtakiwi tu kujiuzulu bali mnatakiwa pia kuomba msamaha kwa kupoteza muda kufanya futuhi na kuingiza nchi kwenye aibu.
Hivi ulijisikiaje Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kutoka Uswisi ilipotangaza kumtambua Mtaka na sio wewe? Ilikua lazima ujiuzulu maana IOC hawakutambui. Waliokuapisha walidhani IOC itakubaliana na uharamia wa uchaguzi itangaze kukutambua wewe badala ya mshindi halisi.
IOC Ilituma mwakilishi na akashuhudia kwamba ulipata kura 1, lakini akashangaa umetanga mshindi. Ndiyo maana IOC ilitoa barua rasmi ya kumtambua Mtaka na sio wewe. Kwa hiyo hata ungeendelea kulazimisha kukalia kiti, usingeweza kuongoza maana wenye olimpiki yao hawakutambui. Next usikubali kutumika tena “kiboya” na kuingiza nchi kwenye kashfa za rejareja!