Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

Kwanini akiwa huku Ulinzi unakuwa wa hovyo sana?
Ulinzi wa nani mkuu?,mbona unakua una roho ya juu kuhusu ulinzi wa no 1?,wewe umeshaona president wa US akihutubia na nyuma yake walinzi wake wamesimama?,hapo wote wamepita kwenye scanners na wanajadili kuhusu uchumi wa dunia na nchi zao, relax mkuu our no 1 she's in safe hands
 
Wakati Kikwete akisafiri sana aliitwa Vasco Da Gama, Magufuli hakusafiri yeye akaitwa jina lake sasa sijui mama anayefuata njia hii ya Kikwete style anayofuata naye ataitwa jina gani: Clärenore Stinnes aliyezunguka dunia nzima kwa gari?
 
Kweli matatizo ya Tanzania hayajulikani mpaka yakajadiliwe uswisi?
acha ushamba wako wa kisukuma wewe raisi wa nchi lazima asafiri. ndo maana kwenye bajeti ya ofisi ya raisi kuna allocations za posho za safari nauli nk
ukiona raisi wa nchi hasafiri jua huyo ana matatizo ya exposure ambalo ni tatizo kubwa kwa mtu kama raisi
akibaki hapa nyumbani bila kusafiri ndo hayo matatizo yataisha?
magufuli hajasafiri hayo matatizo yaliisha?
acheni ushamba wenu bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…