Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

Mama ameamua ajilie raha ya hapa duniani maisha ni mafupi sana. Mama kula upasuke nchi Ina utajiri mwingi ila Raia wake waliowengi masikini kupitiliza ndo Tanzania yetu.
 
Hivi Museven huwa anasafir duniani Kweli haha naona safar yake kubwa kuja bongo nakurudi kwake
 
Umemuona hapo rais wa Rwanda, Uganda, China, Singapore? Ujinga mtupu
Vipo vikao vya kimataifa Rwanda huwa anakwenda lakini Tanzania asiende, mara nyingi hili hutegemea study ambayo nchi hufanya kuona manufaa ya Mkutano kwa nchi husika, elewa! Na si kujiendea bila study maalum, "how will this meetings benefits my country"
YULE JAMAA ALIKUWA AKIOGOPA KABISA KUJUMUIKA NADHANI SHIDA ILIKUWA LUGHA.
 
Huwa nashindwa kuwatofautisha Dk Abdallah Possi na Dr Ally Possi,hapo nyuma nilikuwa nikisikia Possi najua mtu Mmoja kumbe n watu wawili ila nahc n ndugu.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Zama za mabeberu zilishapitwa na wakati
Karibu unaletewa pipa la kakao kutoka uswisi.

Kazi yao haijamalizika mpaka Tanzania iwekwe mfukoni.

Apparently, their mission will never end even if it takes centuries to realize. Ni miaka takriban 120 na ushee toka waseme hayo Walipewa majukumu maalum kiunagaubaga....

'Win the affection by being kind...they will give you their affection first!! and confidence by healing their wounds, by works of charity, they will prostrate at your feet!

Nkerebukhe, you are proclaiming the benefits of an evil empire, you are proclaiming marabout.
 
Vipo vikao vya kimataifa Rwanda huwa anakwenda lakini Tanzania asiende, mara nyingi hili hutegemea study ambayo nchi hufanya kuona manufaa ya Mkutano kwa nchi husika, elewa! Na si kujiendea bila study maalum, "how will this meetings benefits my country"
YULE JAMAA ALIKUWA AKIOGOPA KABISA KUJUMUIKA NADHANI SHIDA ILIKUWA LUGHA.
kutokuona manufaa yeyote ni sawa, kwani hakuona hayo unayoyaona wewe au hao Wazungu wanavyofikiri(kutawala, na wizi kwa nguvu yeyote ile)

Kila binadamu ana lugha. Kotokwenda kwake huko ni lugha tosha. Hadanganyiki,alikuwa hapendi kuhadaa na unduminakuwili.
 
Umemuona hapo rais wa Rwanda, Uganda, China, Singapore? Ujinga mtupu
Kwa hiyo hao marais wa Rwanda, Uganda, China , Singapore ndio 'SI Unit" ya werevu!!???
Wakifanyacho ni sahihi na lazima tuwaige!!!???
Muombd Mungu Baba Muumba akupe akili japo ya kukutoa kwenye utegemezi ulionao.
 
Back
Top Bottom